Acts 13:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, jueni, ndugu zangu, kwamba kwa njia ya mtu huyu ujumbe kuhusu kusamehewa dhambi unahubiriwa kwenu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kupitia kwa huyu Isa msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, na ijulikane kwenu, ndugu zangu, ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu zangu, eleweni yale tunayowaambia. Mnaweza kupata msamaha wa dhambi kupitia huyu Yesu. Sheria ya Musa haikuwatoa kutoka katika dhambi zenu. Lakini mnaweza kuwa huru mbali na hukumu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jueni wazi, ndugu zangu, kwamba ujumbe kuhusu kusamehewa dhambi unahubiriwa kwenu kwa njia ya Yesu Kristo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, jueni, ndugu zangu, kwamba kwa njia ya mtu huyu ujumbe kuhusu kusamehewa dhambi unahubiriwa kwenu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Isa msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, na ijulikane kwenu, ndugu zangu, ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, jueni, ndugu zangu, kwamba kwa njia ya mtu huyu ujumbe kuhusu kusamehewa dhambi unahubiriwa kwenu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo waume ndugu, litambulkane kwenu, ya kuwa ni kwa ajili yake yeye, mkipigiwa mbiu ya kwamba: Makosa yameondolea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, na ijulikane kwenu, ndugu zangu, ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi wandugu zangu, mujue hakika kwamba kwa njia ya huyo, habari ya kusamehewa zambi inahubiriwa kwenu. Na zaidi ya hii, hakuna mutu anayeweza kuhesabiwa haki katika mambo yote kwa njia ya kushika Sheria ya Musa. Lakini kila mutu anayemwamini anahesabiwa haki katika mambo yale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, ibainike kwenu, ndugu, ya kuwa kwa huyu mnakhubiriwa ondoleo la dhambi;