Acts 13:42 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Paulo na Barnaba walipokuwa wanatoka katika lile sunagogi, wale watu waliwaalika waje tena siku ya Sabato iliyofuata, waongee zaidi juu ya mambo hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Paulo na Barnaba walipokuwa wakitoka nje ya sinagogi, watu wakawaomba wazungumze tena mambo hayo Sabato iliyofuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo na Barnaba walipokuwa wanaondoka kwenye sinagogi, watu waliwaomba warudi tena Sabato inayofuata ili wawaeleze zaidi kuhusu mambo haya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Paulo na Barnaba walipokuwa wanatoka katika ile sunagogi, wale watu waliwaalika waje tena siku ya Sabato iliyofuata, waongee zaidi juu ya mambo hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Paulo na Barnaba walipokuwa wanatoka katika lile sunagogi, wale watu waliwaalika waje tena siku ya Sabato iliyofuata, waongee zaidi juu ya mambo hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Paulo na Barnaba walipokuwa wakitoka nje ya sinagogi, watu wakawaomba wazungumze tena mambo hayo Sabato nyingine inayofuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Paulo na Barnaba walipokuwa wakitoka nje ya sinagogi, watu wakawaomba wazungumze tena mambo hayo Sabato iliyofuata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Paulo na Barnaba walipokuwa wanatoka katika lile sunagogi, wale watu waliwaalika waje tena siku ya Sabato iliyofuata, waongee zaidi juu ya mambo hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotoka hapo, wamizimu wakawaomba, nao waambiwe maneno hayo siku ya pili ya mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Paulo na Barnaba walipotoka ndani ya ile nyumba ya kuabudia, watu wakawasihi warudie tena kuwaelezea maneno yale yale kwa siku ya Sabato iliyofuata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na walipokuwa wakitoka katika sunagogi la Wayahudi, watu wa mataifa wakawasihi kuwaambia maneno haya sabato ya pili.