Acts 13:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku ya Sabato iliyofuata, karibu watu wote katika mji walikusanyika ili wasikie neno la Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sabato iliyofuata karibu watu wote wa mji ule walikuja kusikiliza neno la Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya mapumziko iliyofuata walikusanyika wao wa mji wote, walisikie Neno la Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa muji wakakusanyika kwa kusikia neno la Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.