Acts 13:47 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Bwana alituagiza hivi: ‘Nimekuweka wewe uwe mwanga kwa watu wa mataifa, ili uwaletee watu wokovu pote ulimwenguni.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana hili ndilo Mwenyezi Mungu alilotuamuru: “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivi ndivyo Bwana alivyotuambia kufanya: ‘Nimewafanya ninyi mwanga kwa ajili ya mataifa mengine, kuwaonesha watu ulimwenguni kote njia ya wokovu.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Bwana alituagiza hivi: Nimekuteua wewe uwe mwanga kwa mataifa, uwe njia ya wokovu kwa ulimwengu wote.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Bwana alituagiza hivi: ‘Nimekuweka wewe uwe mwanga kwa watu wa mataifa, ili uwaletee watu wokovu pote ulimwenguni.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hili ndilo Bwana alilotuamuru: “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu Mataifa, ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana hili ndilo Mwenyezi Mungu alilotuamuru: “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Bwana alituagiza hivi: ‘Nimekuweka wewe uwe mwanga kwa watu wa mataifa, ili uwaletee watu wokovu pote ulimwenguni.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tumeagizwa hivyo na Bwana: Nimekuweka kuwa mwanga wa wamizimu, uwe wokovu wao hata mapeoni kwa nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Bwana ametuagiza hivi: ‘Nimekuweka kuwa mwangaza wa mataifa, kusudi watu wapate kuokolewa katika dunia yote.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya mataifa, Upate kuwa wokofu hatta mwisho wa dunia: