Acts 13:51 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mitume wakayakunguta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda Ikonio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Paulo na Barnaba wakakung’uta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakawakung'utia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Paulo na Barnaba wakakung'uta mavumbi ya miguu yao. Kisha wakaenda katika mji wa Ikonia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, mitume wakayakung'uta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda Ikonio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mitume wakayakung'uta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda Ikonio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Paulo na Barnaba wakakung'uta mavumbi kutoka kwenye miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Paulo na Barnaba wakakung’uta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakawakung'utia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mitume wakayakunguta mavumbi yaliyokuwa katika miguu yao kama onyo, kisha wakaenda Ikonio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipowakung'utia mavumbi ya miguuni, wakaenda, wakaja Ikonio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakawakung’utia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu hawa mitume wakawakungutia mavumbi toka juu ya miguu yao, na kwenda katika muji Ikonio.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao wakawakungʼutia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.