Acts 13:52 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wakajawa na furaha na Roho wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wanafunzi walijaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wafuasi wa Bwana katika Antiokia walijaa furaha na walijazwa Roho Mtakatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wakajawa na furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wakajawa na furaha na Roho wa Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wanafunzi walijaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wanafunzi wakajazwa furaha na Roho takatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wanafunzi walijaa furaha na Roho Mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wanafunzi wa Antiokia walijazwa na furaha na Roho Mutakatifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wanafunzi walijaa furaha na Roho Mtakatifu.