Acts 13:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sauli, ambaye pia aliitwa Paulo, akiwa amejawa na Roho wa Mungu, akamkazia macho Elima huyo mchawi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Sauli (ambaye pia anajulikana kama Paulo), akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkazia macho Elima
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Sauli, ambaye pia aliitwa Paulo, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akamkazia macho yule Elima mchawi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sauli, ambaye pia aliitwa Paulo, akiwa amejawa na Roho wa Mwenyezi Mungu, akamkazia macho Elima huyo mchawi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Sauli anayeitwa Paulo akajaa Roho takatifu, akamkazia macho,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Saulo, anayeitwa vilevile Paulo, akiwa amejazwa na Roho Mutakatifu, akamukazia macho
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Saul ambae ndiye Paolo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho, akanena,