Acts 15:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi, kama wao wanavyookolewa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hapana, tunaamini kuwa sisi na watu hawa tutaokolewa kwa namna moja iliyo sawa, ni kwa neema ya Bwana Yesu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tunaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu Kristo, kama wao wanavyookolewa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Isa Al-Masihi, kama wao wanavyookolewa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tunayategemea, ya kuwa tutaokolewa kwa kugawiwa na Bwana Yesu, sawasawa kama wale nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haipaswi kuwa vile, kwa maana sisi na wao vilevile tunaamini kwamba sisi wote tunaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali twaamini kwamba kwa neema ya Bwana Yesu tutaokoka kama wao.