Acts 15:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Baada ya mambo haya nitarudi, na kujenga tena kile kibanda cha Daudi kilichoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kukijenga tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya mambo haya nitarejea, Nami nitaijenga tena nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena maanguko yake, Nami nitaisimamisha;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Nitarudi baada ya hili. Nitaijenga nyumba ya Daudi tena. Imeanguka chini. Nitazijenga tena sehemu za nyumba yake zilizoangushwa chini. Nitaifanya nyumba yake kuwa mpya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya mambo haya nitarudi. Nitaijenga tena ile nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kuijenga tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Baada ya mambo haya nitarudi, na kujenga tena kile kibanda cha Daudi kilichoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kukijenga tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya mambo haya nitarejea, Nami nitaijenga tena nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena maanguko yake, Nami nitaisimamisha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Baada ya mambo haya nitarudi, na kujenga tena kile kibanda cha Daudi kilichoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kukijenga tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yakiisha, nitarudi, nikijenge tena kibanda cha Dawidi kilichoanguka; hapo palipojenguka nitapajenga tena, nipate kukisimamisha tena,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya mambo haya nitarejea, Nami nitaijenga tena nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena maanguko yake, Nami nitaisimamisha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Nyuma ya mambo haya nitarudi, nitaimarisha tena ufalme wa Daudi, nitausimamisha tena sawa wanavyojenga tena nyumba iliyoanguka,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baada ya mambo haya nitarejea, Nami nitaijenga tena nyumba ya Daud iliyoanguka. Nitajenga tena maanguko yake, Na nitaisimamisha;