Acts 15:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Mwenyezi Mungu, hata wale watu wa Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Mwenyezi Mungu, anayefanya mambo haya,’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili wanadamu waliosalia wamtafute Bwana, Na mataifa yote ambao jina langu limetajwa kwao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha wanadamu wengine wote, watu niliowachagua kutoka mataifa mengine, watataka kunifuata mimi, Bwana. Hivi ndivyo Bwana anasema, naye ndiye afanyaye mambo haya yote.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Bwana, hata wale watu Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Bwana, afanyaye mambo haya’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Bwana Mwenyezi Mungu, hata wale watu wa Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Bwana Mwenyezi, afanyaye mambo haya’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili wanadamu waliobakia wamtafute Bwana, Na mataifa yote ambao jina langu limetajwa kwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana watu waliosalia wote wapate kumtafuta Bwana pamoja na wamizimu wote waliotangaziwa Jina langu. Ndivyo, asemavyo Bwana anayeyafanya haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili wanadamu waliosalia wamtafute Bwana, Na mataifa yote ambao jina langu limetajwa kwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi watu wote wengine wamugeukie Bwana, watu wa mataifa yote wapate kuwa watu wangu wa pekee.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Illi wana Adamu waliosalia wamtafute Bwana, Na mataifa yote ambao jina langu limetajwa kwao: Asema Bwana afanyae mambo haya yote.