Acts 15:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambayo yamejulikana tangu zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asema Bwana, ajulishaye hayo tangu milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Haya yote yalijulikana tangu zamani.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambayo yamejulikana tangu zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambayo yamejulikana tangu zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asema Bwana, ajulishaye hayo tangu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yanatambulikana toka kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asema Bwana, ajulishaye hayo tangu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni vile Bwana anavyosema, yeye aliyejulisha mambo haya tangu zamani za kale.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kazi zake zote zimejulika na Mungu tangu mwanzo wa ulimwengu.