Acts 15:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo, uamuzi wangu ni huu: Tusiwataabishe watu wa mataifa wanaomgeukia Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hivyo uamuzi wangu ni kwamba, tusiwataabishe watu wa Mataifa wanaomgeukia Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo mimi naamua hivi; Tusiwataabishe wale waliomgeukia Mungu katika Mataifa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo nadhani tusiyafanye mambo kuwa magumu kwa wasio Wayahudi waliomgeukia Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kwa hiyo, uamuzi wangu ni huu: tusiwataabishe watu wa mataifa wanomgeukia Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo, uamuzi wangu ni huu: tusiwataabishe watu wa mataifa wanaomgeukia Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo uamuzi wangu ni kwamba, tusiwasumbue watu Mataifa wanaomgeukia Mungu kwa desturi zetu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hivyo uamuzi wangu ni kwamba, tusiwataabishe watu wa Mataifa wanaomgeukia Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo mimi naamua hivi; Tusiwataabishe wale waliomgeukia Mungu katika Mataifa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo, uamuzi wangu ni huu: Tusiwataabishe watu wa mataifa wanaomgeukia Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mimi naona: Wanaotoka kwa wamizimu na kumgeukia Mungu tusiwachukuze mizigo isiyofaa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo mimi naamua hivi; Tusiwataabishe wale waliomgeukia Mungu katika Mataifa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo akaendelea kusema: “Ni kwa sababu hii, mimi ninaona kwamba haifai tuwasumbue watu wa mataifa mengine wanaomugeukia Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hiyo mimi naamua hivi: Tusiwataabishe wale waliomgeukia Mungu katika Mataifa: