Acts 15:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu waliohatirisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Barnaba na Paulo wameyatoa maisha yao kumtumikia Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu waliohatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani ni watu waliojitoka wenyewe kwa ajili ya Jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu waliohatirisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
waliotoa maisha yao kwa ajili ya kumutumikia Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
watu waliokhatirisha maisha zao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.