Acts 15:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipoisoma hiyo barua, maneno yake yaliwatia moyo, wakafurahi sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hao watu kuisoma, wakafurahishwa sana kwa ujumbe wake wa kutia moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipokwisha kuisoma wakafurahi kwa ajili ya faraja ile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waamini walipoisoma, wakafurahi na kufarijika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipoisoma hiyo barua, maneno yake yaliwatia moyo, wakafurahi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipoisoma hiyo barua, maneno yake yaliwatia moyo, wakafurahi sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao hao watu wakiisha kuisoma, wakafurahishwa sana kwa ujumbe wake wa kutia moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao hao watu wakiisha kuisoma, wakafurahishwa sana kwa ujumbe wake wa kutia moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipokwisha kuisoma wakafurahi kwa ajili ya faraja ile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipoisoma hiyo barua, maneno yake yaliwatia moyo, wakafurahi sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale walipoisoma wakafurahi kwa ajili ya matulizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipokwisha kuisoma wakafurahi kwa ajili ya faraja ile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipoisoma wakafurahi kwa ajili ya maneno ya kuwatia moyo yaliyoandikwa ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakausoma, wakafurahi kwa ajili ya faraja ile.