Acts 15:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kukaa huko kwa muda fulani, ndugu wa Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa wale waliokuwa wamewatuma. [
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kukaa huko Antiokia kwa muda, wakaagwa kwa amani na wale ndugu ili waende kwa wale waliowatuma. [
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakiisha kukaa huko muda, wakaruhusiwa na ndugu waende kwa amani kwa hao waliowatuma. [
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya Yuda na Sila kukaa pale kwa muda, waliondoka. Waamini waliwaruhusu waende kwa amani kisha wakarudi Yerusalemu kwa wale waliowatuma.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kukaa huko kwa muda fulani, ndugu wa Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa wale waliokuwa wamewatuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kukaa huko kwa muda fulani, ndugu wa Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa wale waliokuwa wamewatuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kukaa huko Antiokia kwa muda, wakaagwa kwa amani na wale ndugu ili waende kwa wale waliowatuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kukaa huko Antiokia kwa muda, wakaagwa kwa amani na wale ndugu ili waende kwa wale waliowatuma. [
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakiisha kukaa huko muda, wakaruhusiwa na ndugu waende kwa amani kwa hao waliowatuma. [
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kukaa huko kwa muda fulani, ndugu wa Antiokia waliwaaga wakiwatakia amani, kisha wakarudi kwa wale waliokuwa wamewatuma. [
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kukaa kitambo walisindikizwa na ndugu kwa hivyo, walivyopatana, warudi kwao waliowatuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakiisha kukaa huko muda, wakaruhusiwa na ndugu waende kwa amani kwa hao waliowatuma. [
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kukaa kule kwa muda, wandugu waamini wakawaaga na kuwatakia amani wakawaruhusu kurudi kwa wale waliowatuma. [
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao wakiisha kukaa huko muda kitambo, wakarukhusiwa na ndugu waende kwa amani kwao waliowatuma.