Acts 15:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Paulo na Barnaba walibaki huko Antiokia kwa muda; wakafundisha na kuhubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Paulo na Barnaba walibaki Antiokia ambako wao pamoja na wengine wengi walifundisha na kuhubiri neno la Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Paulo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisha na kulihubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Paulo na Barnaba walikaa Antiokia. Wao na wengine wengi waliwafundisha waamini na kuwahubiri watu wengine Habari Njema kuhusu Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Paulo na Barnaba walibaki huko Antiokia kwa muda; wakafundisha na kuhubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Paulo na Barnaba walibaki huko Antiokia kwa muda; wakafundisha na kuhubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Paulo na Barnaba walibaki Antiokia ambako wao pamoja na wengine wengi waliwafundisha na kuhubiri neno la Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Paulo na Barnaba walibaki Antiokia ambako wao pamoja na wengine wengi walifundisha na kuhubiri neno la Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Paulo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisha na kulihubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Paulo na Barnaba walibaki huko Antiokia kwa muda; wakafundisha na kuhubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Paulo na Barnaba wakakaa Antiokia wakilifundisha Neno la Bwana na kuipiga hiyo mbiu njema pamoja na wenzao wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Paulo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisha na kulihubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Paulo na Barnaba wakabakia Antiokia, na kule wao pamoja na watu wengine wengi walifundisha na kuhubiri neno la Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Paolo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisiia na kulikhubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.