Acts 15:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Paulo akamchagua Sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo kumweka chini ya ulinzi wa neema ya Bwana, akaondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Paulo akamchagua Sila na akaondoka baada ya ndugu kuwatakia neema ya Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Paulo akamchagua Sila, akaondoka, akiombewa na wale ndugu apewe neema ya Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo alimchagua Sila kwenda naye. Waamini Antiokia walimweka Paulo katika uangalizi wa Bwana na kumtuma.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Paulo akamchagua Sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo kumweka chini ya ulinzi wa neema ya Bwana, akaondoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Paulo akamchagua Sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo kumweka chini ya ulinzi wa neema ya Bwana, akaondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Paulo akamchagua Sila na akaondoka baada ya ndugu kuwatakia neema ya Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Paulo akamchagua Sila na akaondoka baada ya ndugu kuwatakia neema ya Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Paulo akamchagua Sila, akaondoka, akiombewa na wale ndugu apewe neema ya Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Paulo akamchagua Sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo kumweka chini ya ulinzi wa neema ya Bwana, akaondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye Paulo akamchukua Sila, akaondoka akiombewa na ndugu, Mungu awaongoze kwa upole.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Paulo akamchagua Sila, akaondoka, akiombewa na wale ndugu apewe neema ya Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Paulo akachagua kwenda na Sila, nao wandugu waamini walipokwisha kuwaombea neema kwa Mungu, wakaondoka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Paolo akamchagua Sila akaondoka, akiombewa na wale ndugu, apewe neema ya Mungu.