Acts 15:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapitia Siria na Kilikia, akiimarisha makundi ya waumini ya huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapita katika Shamu na Kilikia akiyathibitisha makanisa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo na Sila walikwenda kwa kupitia katika majimbo ya Shamu na Kilikia, wakiyasaidia makanisa kuimarika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia akiyaimarisha makanisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapitia Shamu na Kilikia, akiimarisha makanisa ya huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapitia Shamu na Kilikia, akiyaimarisha makundi ya waumini ya huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapita katika Shamu na Kilikia akiyaimarisha makanisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaipita nchi ya Ushami na Kilikia, akawashupaza wateule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapita katika Shamu na Kilikia akiyathibitisha makanisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akapita katika jimbo la Suria na Kilikia, na kule akayatia makanisa nguvu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akapita katika Shami na Kilikia akawatia moyo makanisa.