Acts 15:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mbele za Mungu, wasio Wayahudi hawako tofauti na sisi. Mungu aliisafisha mioyo yao walipoamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hakuna, asichowalinganisha na sisi, maana nao amewang'aza mioyo kwa vile, walivyomtegemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hakufanya ubaguzi kati yetu na wao; ametakasa mioyo yao kwa sababu walimwamini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)