Acts 16:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tukasafiri kwa meli kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, na kesho yake tukafika Neapoli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi tukang'oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulisafiri kwa merikebu kutoka Troa na tukaabili kwenda katika kisiwa cha Samothrake. Siku iliyofuata tukasafiri kwenda katika mji wa Neapoli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tukasafiri kwa njia ya bahari kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, kesho yake tukafika Neapoli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tukasafiri kwa njia ya bahari kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, kesho yake tukafika Neapoli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi tukang'oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukaondoka Tiroa, tukaingia chomboni, tukaenda kwa tanga moja Samotirake; kesho yake tukafika Mji Mpya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi tukasafiri ndani ya chombo kutoka Troa na kwenda mara moja mpaka Samotirake, na kesho yake tukafika Neapoli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tukangʼoa nanga kutoka Troa, tukafika Samothraki kwa tanga moja.