Acts 16:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Rumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena wanatangaza habari ya desturi zisizokuwa halali kwetu kuzipokea wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Rumi haturuhusiwi kuzifuata wala kutenda.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Kirumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafundisha desturi ambazo sisi raiya wa Kirumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena wanatangaza habari za desturi zisizokuwa halali kwetu kuzipokea wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hufundisha desturi zilizo mwiko kwetu kuzipokea au kuzifanya sisi tulio Waroma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena wanatangaza habari ya desturi zisizokuwa halali kwetu kuzipokea wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafundisha desturi ambazo sisi Waroma tunakatazwa kukubali na kufuata.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena wanatangaza khabari ya desturi zisizo halali kwetu tuzipokee wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi.