Acts 16:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kufuata maelekezo haya, yule mkuu wa gereza akawaweka katika chumba cha ndani sana mle gerezani, na akawafunga miguu yao kwa minyororo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mkuu wa gereza aliposikia amri hii maalumu, aliwaweka Paulo na Sila ndani zaidi gerezani na kuwafunga miguu yao kwenye nguzo kubwa za miti.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kufuata maelekezo haya, yule mkuu wa gereza akawaweka katika chumba cha ndani sana mle gerezani na akawafunga miguu yao kwa minyororo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kufuata maelekezo haya, yule mkuu wa gereza akawaweka katika chumba cha ndani sana mle gerezani, na akawafunga miguu yao kwa minyororo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipolipata agizo hili akawatia katika chumba cha ndani kabisa, tena miguu yao akaitia mikatale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kufuatana na agizo lile, akawatia katika chumba cha ndani kabisa na kuwafungia miguu juu ya vipande vya miti kusudi ibaki imepanuka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akiisha kupata amri hii akawatupa katika chumba cha ndani, akawafunga miguu kwa mkatale.