Acts 16:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu nawe utaokolewa pamoja na jamaa yako yote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamjibu, “Mwamini Bwana Isa Al-Masihi, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwambia, “Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokolewa pamoja na watu wote waishio katika nyumba yako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wao wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu nawe utaokolewa pamoja na jamaa yako yote.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu nawe utaokolewa pamoja na jamaa yako yote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na wa nyumbani mwako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamjibu, “Mwamini Bwana Isa Al-Masihi, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu nawe utaokolewa pamoja na jamaa yako yote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakasema: Mtegemee Bwana Yesu! Ndivyo, utakavyookoka wewe nao waliomo nyumbani mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakajibu: “Umwamini Bwana Yesu, nawe utaokolewa pamoja na watu wote wa nyumba yako.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka pamoja na uyumba yako.