Acts 16:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamhubiria neno la Bwana yeye pamoja na jamaa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia neno la Bwana Isa, yeye pamoja na wote waliokuwa nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Paulo na Sila wakamhubiri ujumbe wa Bwana mkuu wa gereza na watu wote walioishi katika nyumba yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamhubiria neno la Bwana yeye pamoja na jamaa yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamhubiria neno la Bwana yeye pamoja na jamaa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia neno la Bwana Isa, yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamhubiria neno la Bwana yeye pamoja na jamaa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia Neno lake Mungu yeye nao wote waliokuwamo mwake.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakamwelezea neno la Bwana pamoja na watu wote wa nyumba yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake.