Acts 16:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake asubuhi, mahakimu waliwatuma maofisa wao wakisema, “Wafungueni wale watu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulipopambazuka wale mahakimu wakawatuma maafisa wao kwa mkuu wa gereza wakiwa na agizo linalosema, “Wafungue wale watu, waachie waende zao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kulipopambauka makadhi wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Asubuhi iliyofuata maofisa wa Kirumi waliwatuma baadhi ya askari kwenda gerezani na wakamwambia mkuu wa gereza, “Waachie watu hawa huru.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake asubuhi, mahakimu waliwatuma maofisa wao wakisema, “Wafungueni wale watu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake asubuhi, mahakimu waliwatuma maofisa wao wakisema, “Wafungueni wale watu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulipopambazuka wale mahakimu wakawatuma maafisa wao kwa mkuu wa gereza wakiwa na agizo linalosema, “Wafungue wale watu, waache waende zao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulipopambazuka wale mahakimu wakawatuma maafisa wao kwa mkuu wa gereza wakiwa na agizo linalosema, “Wafungue wale watu, waache waende zao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kulipopambazuka mahakimu wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake asubuhi, mahakimu waliwatuma maofisa wao wakisema, “Wafungueni wale watu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulipokucha, mabwana wakubwa wakawatuma wale askari waliowapiga, wamwambie: Wafungue watu wale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kulipopambauka makadhi wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kesho yake kulipokucha, watawala wakatuma watumishi wamoja kwa yule mulinzi wa kifungo kwa kumwambia: “Uwafungue wale watu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kulipopambazuka makadhi wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.