Acts 16:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale maafisa wakarudi na kuwaambia wale mahakimu maneno haya, wakaogopa sana walipofahamu kuwa Paulo na Sila ni raia wa Rumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakubwa wa askari wakawapasha makadhi habari za maneno haya; nao wakaogopa, waliposikia ya kwamba hao ni Warumi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Askari wakawaambia maofisa alichosema Paulo. Waliposikia kwamba Paulo na Sila ni raia wa Rumi, waliogopa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale maafisa wakarudi na kuwaambia wale mahakimu maneno haya, wakaogopa sana walipofahamu kuwa Paulo na Sila ni raia wa Rumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale maafisa wakarudi na kuwaambia wale mahakimu maneno haya, wakaogopa sana walipofahamu kuwa Paulo na Sila ni raiya wa Rumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakubwa wa askari wakawaambia mahakimu maneno haya; nao wakaogopa, waliposikia ya kwamba hao ni Warumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Askari waliowapiga walipowaambia mabwana wakubwa maneno haya, wakashikwa na woga kwa kusikia, ya kuwa ndio Waroma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakubwa wa askari wakawapasha makadhi habari za maneno haya; nao wakaogopa, waliposikia ya kwamba hao ni Warumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wajumbe wakarudi na kuwapasha wakubwa maneno yale. Nao waliposikia kwamba Paulo na Sila ni wanainchi wa Roma, wakaogopa sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakubwa wa askari wakawapasha makadhi khabari za maneno haya: nao wakaogopa, waliposikia ya kwamba ni Warumi.