Acts 16:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, yale makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo makundi ya waumini yakaimarika katika imani, na wakaongezeka kwa idadi kila siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makanisa yakatiwa nguvu katika ile Imani, hesabu yao ikaongezeka kila siku.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo makanisa yakawa yanaongezeka katika imani, na idadi ya waamini iliongezeka kila siku.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, yale makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, yale makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo makundi ya waumini yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makanisa yakatiwa nguvu katika ile Imani, hesabu yao ikaongezeka kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, yale makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo wateule wakapata nguvu za kumtegemea Bwana, wakawa wengi zaidi kwa kuongezwa kila siku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makanisa yakatiwa nguvu katika ile Imani, hesabu yao ikaongezeka kila siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi makanisa yakaendelea kukomaa katika imani, nayo hesabu ya wanafunzi iliongezeka siku kwa siku.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makanisa yakatiwa nguvu kwa imani, hesabu yao ikaongezeka killa siku.