Acts 16:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku huo, Paulo aliona maono ambayo alimwona mtu mmoja wa Makedonia amesimama pale na kumwomba: “Vuka, uje Makedonia ukatusaidie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi, “Vuka uje huku Makedonia utusaidie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Paulo akatokewa na maono usiku; alimwona mtu wa Makedonia amesimama, akimsihi, na kumwambia, Vuka, uje Makedonia utusaidie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usiku ule Paulo aliona maono kwamba mtu kutoka Makedonia alimjia Paulo. Mtu huyo alisimama mbele yake na kumsihi akisema, “Vuka njoo Makedonia utusaidie.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usiku huo, Paulo aliona ono ambalo alimwona mtu mmoja wa Makedonia amesimama pale na kumwomba: “Vuka, uje Makedonia ukatusaidie.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku huo, Paulo aliona maono ambayo alimwona mtu mmoja wa Makedonia amesimama pale na kumwomba: “Vuka, uje Makedonia ukatusaidie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi, “Vuka uje huku Makedonia ukatusaidie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi, “Vuka uje huku Makedonia utusaidie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Paulo akatokewa na maono usiku; alimwona mtu wa Makedonia amesimama, akimsihi, na kumwambia, Vuka, uje Makedonia utusaidie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku huo, Paulo aliona maono ambayo alimwona mtu mmoja wa Makedonia amesimama pale na kumwomba: “Vuka, uje Makedonia ukatusaidie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Huko Paulo akatokewa na njozi usiku, akaona mtu wa Makedonia, amesimama na kumbembeleza kwamba: Vuka, uje Makedonia, utusaidie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Paulo akatokewa na maono usiku; alimwona mtu wa Makedonia amesimama, akimsihi, na kumwambia, Vuka, uje Makedonia utusaidie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ilipokuwa usiku akapata maono. Akaona mutu mumoja wa inchi ya Makedonia akisimama mbele yake akimusihi akisema: “Vuka, ufike kwetu Makedonia, utusaidie.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Paolo akatokewa na maono usiku; alimwona mtu wa Makedonia amesimama, akimsihi akimwambia, Vuka uje Makedonia utusaidie.