Acts 17:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wayahudi wengi wakaamini pamoja na wanawake na wanaume Wayunani wa tabaka la juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu wengi miongoni mwao wakaamini, na wanawake wa Kiyunani wenye cheo, na wanaume si wachache.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Matokeo yake ni kuwa watu wengi miongoni mwao waliamini, wakiwemo wanawake maarufu Wayunani na wanaume.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wayahudi wengi wakaamini pamoja na wanawake na wanaume wa Kiyunani wa tabaka la juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wayahudi wengi wakaamini pamoja na wanawake na wanaume wa Kiyunani wa tabaka la juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu wengi miongoni mwao wakaamini, wakiwemo wanawake wa Kigiriki wenye cheo na wanaume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo wenzao wengi wakaja kumtegemea Bwana, vile vile hata kwa Wagriki wanawake na waume wenye cheo hawakuwa wachache.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu wengi miongoni mwao wakaamini, na wanawake wa Kiyunani wenye cheo, na wanaume si wachache.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Wayuda wengi kati yao wakaamini pamoja na wanawake wengi Wagriki wenye heshima, na hesabu yenye kutosha ya wanaume vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wafu wengi wakaamini miongoni mwao, nao wanawake wa Kiyunani wenye cheo, na wanaume si wachache.