Acts 17:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Waathene na wageni wote walioishi humo hawakutumia muda wao kufanya chochote kingine isipokuwa kueleza au kusikia mambo mapya.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana nafasi kwa neno lo lote ila kutoa habari na kusikiliza habari za jambo jipya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Watu wa Athene na wageni walioishi pale walitumia muda wao bila kufanya kazi yoyote isipokuwa kusikiliza na kuzungumza kuhusu mawazo mapya.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Waathene na wageni wote walioishi humo hawakutumia muda wao kufanya cho chote kingine isipokuwa kueleza au kusikia jambo jipya).
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Waathene na wageni wote walioishi humo hawakutumia muda wao kufanya chochote kingine isipokuwa kueleza au kusikia mambo mapya).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana nafasi kwa jambo linginelo isipokuwa kuelezea au kusikiliza habari za jambo jipya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wenyeji wote wa Atene na wageni waliotua humo hakuna, walichokitunukia kuliko kusema au kusikia yaliyo mapya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana nafasi kwa neno lo lote ila kutoa habari na kusikiliza habari za jambo jipya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Haya yote ni kwa kuwa wazaliwa wa Atene pamoja na wageni walioishi kati yao, wanapitisha wakati wao wote kwa kueleza na kusikiliza habari mupya mupya.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana faragha kwa neno lo lote illa kutoa khabari na kusikiliza khabari za jambo jipya.