Acts 17:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume cha amri ya Kaisari wakisema eti: ‘Kuna mfalme mwingine aitwaye Yesu.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Yasoni amewakaribisha nyumbani mwake. Hawa wote wanaasi amri za Kaisari wakisema yuko mfalme mwingine aitwaye Isa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na kwamba yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yasoni amewaweka nyumbani mwake. Wanavunja sheria za Kaisari. Wanasema kuna mfalme mwingine anayeitwa Yesu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume cha amri ya Kaisari wakisema eti Kuna mfalme mwingine aitwaye Yesu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume cha amri ya Kaisari wakisema eti: ‘Kuna mfalme mwingine aitwaye Yesu.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Yasoni amewakaribisha nyumbani mwake. Hawa wote wanaasi amri za Kaisari wakisema yuko mfalme mwingine aitwaye Yesu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Yasoni amewakaribisha nyumbani mwake. Hawa wote wanaasi amri za Kaisari wakisema yuko mfalme mwingine aitwaye Isa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume cha amri ya Kaisari wakisema eti: ‘Kuna mfalme mwingine aitwaye Yesu.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye Yasoni ndiye aliyewafikiza. Hawa wote huyakanusha maagizo ya Kaisari wakisema: Mfalme ni mwingine, ni Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yasoni amewakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema na kwamba yupo mfalme mwingine, aitwaye Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yasoni amewakaribisha kwake! Hawa wote wanatembea kinyume cha amri za Mufalme wa Roma wakisema kwamba kuna mufalme mwingine anayeitwa Yesu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yason akawakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema ya kwamba yupo mfalme mwingine, aitwae Yesu.