Acts 17:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliposikia haya, umati ule wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa mji na watu wengine waliposikia hili waliudhika sana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliposikia haya, ule umati wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliposikia haya, ule umati wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakahangaisha watu wengi, hata wakubwa wa mji wakayasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno haya yakafazahisha kundi la watu pamoja na wakubwa wa muji.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakautabarakisha nle mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo.