Acts 17:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaachia waende zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yasoni na wenziwe wakawaacha waende zao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakawalazimisha Yasoni na waamini wengine kuweka dhamana ya fedha kuthibitisha kuwa hakutakuwa vurugu tena. Kisha wakawaruhusu kuondoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaacha waende zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaacha waende zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yasoni na wenziwe wakawaacha waende zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao walipokwisha kumtoza Yasoni na wenzake mali zilizowatosha, wakawaacha, waende zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yasoni na wenziwe wakawaacha waende zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa muji walipokwisha kumulipisha Yasoni na wenzake feza, wakawaachilia kwenda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yason na wenziwe wakawaacha waende zao.