Acts 18:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha Maandiko ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akifundisha kati yao neno la Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo alikaa pale kwa mwaka mmoja na nusu akiwafundisha watu ujumbe wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akifundisha neno la Mungu miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha neno la Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akifundisha kati yao neno la Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakaa huko mwaka na miezi sita akifundisha kwao Neno la Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akifundisha kati yao neno la Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Paulo akakaa kule kwa muda wa mwaka mumoja na miezi sita, akiwafundisha watu Neno la Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akawafundisha neno la Mungu.