Acts 18:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Meli ilitia nanga Kaisarea, naye Paulo akaenda Yerusalemu kulisalimia lile kanisa, kisha akaenda Antiokia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitia nanga Kaisaria, akaenda Yerusalemu na kuwasalimu waumini, kisha akaenda Antiokia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na alipokwisha kushuka Kaisaria, akapanda juu, akawasalimu kanisa, kisha akatelemkia Antiokia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alipofika Kaisaria, alikwenda Yerusalemu na kulitembelea kanisa pale. Baada ya hapo alikwenda Antiokia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Meli ilitia nanga Kaisarea, naye Paulo akaenda Yerusalemu kulisalimia lile kanisa, kisha akaenda Antiokia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Meli ilitia nanga Kaisarea, naye Paulo akaenda Yerusalemu kulisalimia lile kanisa, kisha akaenda Antiokia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitia nanga Kaisaria, akaenda Yerusalemu na kulisalimu kanisa, kisha akaenda Antiokia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitia nanga Kaisaria, akaenda Yerusalemu na kulisalimu kundi la waumini, kisha akaenda Antiokia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na alipokwisha kushuka Kaisaria, akapanda juu, akawasalimu kanisa, kisha akateremka kwenda Antiokia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Meli ilitia nanga Kaisarea, naye Paulo akaenda Yerusalemu kulisalimia lile kanisa, kisha akaenda Antiokia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akatweka, akafika Kesaria, akapanda kuamkiana na wateule; kisha akatelemka kwenda Antiokia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na alipokwisha kushuka Kaisaria, akapanda juu, akawasalimu kanisa, kisha akatelemkia Antiokia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye alipofika katika muji Kaisaria, akaenda Yerusalema kwa kusalimia kanisa. Kisha akaenda Antiokia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatweka, akatoka Efeso, na alipokwisha kushuka Kaisaria, akapanda juu, akawasalimu Kanisa, akatelemkia Antiokia.