Acts 18:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila Sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila Sabato Paulo alikuwa akihojiana nao katika sinagogi, akijitahidi kuwashawishi Wayahudi na Wayunani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoa hoja zake katika sinagogi kila sabato, akajaribu kuwavuta Wayahudi na Wayunani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila siku ya Sabato Paulo alikwenda kwenye sinagogi na kuzungumza na Wayahudi na Wayunani, akijaribu kuwashawishi wamwamini Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila Sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila Sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila Sabato Paulo alikuwa akihojiana nao akijitahidi kuwavuta Wayahudi na Wayunani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila Sabato Paulo alikuwa akihojiana nao katika sinagogi, akijitahidi kuwashawishi Wayahudi na Wayunani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoa hoja zake katika sinagogi kila sabato, akajaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila Sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kila siku ya mapumziko akabishana nao Wayuda na Wagriki nyumbani mwa kuombea, akawafundisha na kuwashinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoa hoja zake katika sinagogi kila sabato, akajaribu kuwavuta Wayahudi na Wayunani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kila siku ya Sabato, Paulo alibishana na Wayuda na Wagriki katika nyumba ya kuabudia na kuwashinda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatoa hoja zake katika sunagogi killa sabato akawavuta Wayahudi na Wayunani waamini.