Acts 18:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku mmoja Bwana Isa akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Paulo kwa maono usiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati wa usiku, Paulo aliona maono. Bwana alimwambia, “Usiogope, na usiache kuzungumza na watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku mmoja Bwana akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku mmoja Bwana Isa akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana akamwambia Paulo kwa maono usiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Paulo kwa njozi usiku: Usiogope, tangaza tu, usinyamaze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana akamwambia Paulo kwa maono usiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja usiku, Bwana akamwambia Paulo katika maono: “Usiogope, uendelee tu kusema, wala usinyamaze,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana akamwambia Paolo kwa njozi nsiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze,