Acts 19:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kupitia kwa Paulo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alimtumia Paulo kufanya miujiza ya kipekee.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kwa mkono wa Paulo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kwa mkono wa Paulo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu akaifanyisha mikono ya Paulo matendo ya nguvu yasiyokuwapo hata kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akaendelea kufanya miujiza ya ajabu kwa njia ya Paulo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mungu akafanya kwa mikono ya Paolo miujiza ya kupita kawaida;