Acts 19:14 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana saba wa Skewa, Myahudi aliyekuwa kiongozi wa makuhani, walikuwa wanafanya hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walikuwako wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watoto saba wa Skewa, Kuhani Mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Palikuwa na wana saba wa mtu mmoja Myahudi jina lake Skewa, aliyekuwa kiongozi wa makuhani, ambao walikuwa wanafanya hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana saba wa Skewa, Myahudi aliyekuwa kiongozi wa makuhani, walikuwa wanafanya hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walikuwapo wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliovifanya hivyo walikuwa wana saba wa Sikewa aliyekuwa mtambikaji mkuu wa Kiyuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walikuwako wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Waliofanya hivi walikuwa wana saba wa Sikewa, Kuhani Mukubwa mumoja wa Wayuda.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliofanya haya walikuwa wana saba wa Skewa, Myahudi, kuhani mkuu.