Acts 19:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja pepo mchafu akawajibu, “Isa namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wakati fulani pepo akawaambia Wayahudi hawa, “Ninamfahamu Yesu, na ninafahamu kuhusu Paulo, na ninyi ni nani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini ninyi ni nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini pepo mchafu akawajibu, “Yesu namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini pepo mchafu akawajibu, “Isa namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini pepo mbaya akawajibu: Yesu ninamtambua, naye Paulo ninamjua. Lakini ninyi, m wa nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule pepo akawajibu: “Ninamujua Yesu na ninamufahamu Paulo, lakini ninyi ni nani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule pepo akawajibu, Yesu namjua na Paolo namfahamu, bali ninyi ni nani?