Acts 19:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa namna hiyo, neno la Bwana lilizidi kuenea na kuwa na nguvu zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo neno la Bwana Isa likaenea sana na kuwa na nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo ndivyo neno la Bwana lilivyozidi na kushinda kwa nguvu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivi ndivyo ambavyo neno la Bwana lilikuwa linasambaa kwa nguvu, likisababisha watu wengi kuamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa namna hiyo, neno la Bwana lilizidi kuenea na kuwa na nguvu zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa namna hiyo, neno la Bwana lilizidi kuenea na kuwa na nguvu zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo neno la Bwana likaenea sana na kuwa na nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo neno la Bwana Isa likaenea sana na kuwa na nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo ndivyo neno la Bwana lilivyozidi na kushinda kwa nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa namna hiyo, neno la Bwana lilizidi kuenea na kuwa na nguvu zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo Neno likakua, likapata nguvu kwa uwezo wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo ndivyo neno la Bwana lilivyozidi na kushinda kwa nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni hivi neno la Bwana lilivyoendelea kuenea fasi zote kwa uwezo wake na kuzidi kuonekana kuwa lenye nguvu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hivyo neno la Mungu likazidi na kushinda kwa nguvu.