Acts 19:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo huo pakatokea dhiki kubwa kwa sababu ya Njia Ile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo kukatukia ghasia si haba katika habari ya Njia ile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini katika wakati huo huo kulikuwepo tatizo kuhusiana na Njia. Hivi ndivyo ilivyotokea:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo Njia ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo huo pakatokea dhiki kubwa kwa sababu ya Njia ile ya Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo huo pakatokea dhiki kubwa kwa sababu ya Njia ile ya Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo kukatokea ghasia si haba kuhusu Njia ile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo ndipo kulipotokea ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo njia ya Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku zile ikawako kondo isiyokuwa ndogo kwa ajili ya hiyo njia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo kukatukia ghasia si haba katika habari ya Njia ile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku zile kulitokea fujo kubwa kwa ajili ya Njia ya Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta wakati huo kukatukia ghasia si haba katika khabari ya Njia ile.