Acts 19:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Demetrio aliwakusanya hao wafanyakazi pamoja na wengine waliokuwa na kazi kama hiyo, akawaambia, “Wananchi, mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliwaita pamoja watu wengine waliofanya kazi ya ufundi kama yake na kusema, “Enyi watu, mnajua ya kuwa utajiri wetu unatokana na biashara hii!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawakusanya hao, pamoja na wengine wenye kazi ile ile, akasema, Enyi wanaume, mnajua ya kuwa utajiri wetu hutoka katika kazi hii.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Demetrio alifanya mkutano na watu hawa pamoja na wengine waliokuwa wanafanya kazi ya aina hiyo. Akawaambia, “Ndugu, mnafahamu kuwa tunapata pesa nyingi kutokana na kazi yetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Demetrio aliwakusanya hao wafanyakazi pamoja na wengine waliokuwa na kazi kama hiyo, akawaambia, “Wananchi, mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Demetrio aliwakusanya hao wafanyakazi pamoja na wengine waliokuwa na kazi kama hiyo, akawaambia, “Wananchi, mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliwaita pamoja watu wengine waliofanya kazi ya ufundi kama yake na kusema, “Enyi watu, mnajua ya kuwa utajiri wetu unatokana na biashara hii?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliwaita pamoja watu wengine waliofanya kazi ya ufundi kama yake na kusema, “Enyi watu, mnajua ya kuwa utajiri wetu unatokana na biashara hii!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawakusanya hao, pamoja na wengine wenye kazi ile ile, akasema, Enyi wanaume, mnajua ya kuwa utajiri wetu hutoka katika kazi hii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Demetrio aliwakusanya hao wafanyakazi pamoja na wengine waliokuwa na kazi kama hiyo, akawaambia, “Wananchi, mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao akawakusanya na wengine waliowafanyia kazi, akasema: Waume, mmejua: kazi hii ni chumo letu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawakusanya hao, pamoja na wengine wenye kazi ile ile, akasema, Enyi wanaume, mnajua ya kuwa utajiri wetu hutoka katika kazi hii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye alikusanya wale wafundi wote pamoja na watu wengine waliofanya kazi sawasawa na ile na kuwaambia: “Wandugu, munajua kwamba sisi tunapata mali mengi kwa njia ya kazi hii.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)