Acts 19:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi wa Efeso!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliposikia maneno haya, wakaghadhibika, wakaanza kupiga kelele wakisema, “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliposikia haya wakajaa ghadhabu, wakapiga kelele, wakisema, Artemi wa Waefeso ni mkuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliposikia hili, walikasirika sana. Wakapaza sauti zao wakisema, “Artemi, mungu mke wa Efeso ni mkuu!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi, wa Efeso!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi wa Efeso!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliposikia maneno haya, wakaghadhabika, wakaanza kupiga kelele, “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliposikia maneno haya, wakaghadhibika, wakaanza kupiga kelele, “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliposikia haya wakajaa ghadhabu, wakapiga kelele, wakisema, Artemi wa Waefeso ni mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi wa Efeso!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoyasikia, makali yakawajaa, wakapiga kelele wakisema; Mkuu ni Artemi wa Waefeso!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliposikia haya wakajaa ghadhabu, wakapiga kelele, wakisema, Artemi wa Waefeso ni mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wale waliposikia maneno haya, wakajaa na hasira na kuanza kulalamika wakisema: “Artemi wa Waefeso atukuzwe!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waliposikia haya wakajaa hasira, wakapiga kelele, wakisema, Artemi wa Waefeso m mkuu.