Acts 19:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohane.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yahya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo akawauliza, “Kwa hiyo ni mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakasema, “Kwa ubatizo aliofundisha Yohana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohane.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohane.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yohana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yahya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohane.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowauliza: Mmebatizwa ubatizo gani? wakasema: Tumebatizwa ubatizo wa Yohana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Paulo akawauliza: “Basi mulibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakamujibu: “Tulibatizwa kwa ubatizo wa Yoane.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawauliza, Bassi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.