Acts 19:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Paulo akataka kuingia katikati ya umati, lakini wanafunzi hawakumruhusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Paulo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo alitaka kwenda ili azungumze na watu, lakini wafuasi wa Bwana walimzuia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Paulo akataka kuingia katikati ya umati wa watu lakini wanafunzi hawakumruhusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Paulo akataka kuingia katikati ya umati huo, lakini wanafunzi hawakumruhusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Paulo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Paulo alipotaka kuwatokea watu, wanafunzi wakamzuia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Paulo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Paulo alitaka kujionyesha mbele ya lile kundi la watu, lakini wanafunzi wakamukataza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Paolo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie.