Acts 19:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, ikiwa Demetrio na mafundi wenzake wana mashtaka dhidi ya mtu yeyote, mahakama ziko wazi na wasaidizi wa mwakilishi wa mtawala. Wanaweza kufungua mashtaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu, baraza ziko, na maliwali wako; na washitakiane.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tuna mahakama za sheria na wapo waamuzi. Je, Demetrio na watu hawa wanaofanya kazi pamoja naye wana mashitaka dhidi ya yeyote? Wanapaswa kwenda mahakamani wakawashtaki huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, ikiwa Demetrio na mafundi wenzake wana jambo zito dhidi ya mtu ye yote, mahakama ziko wazi na wasaidizi wa mwakilishi wa mtawala. Wanaweza kufungua mashtaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, ikiwa Demetrio na mafundi wenzake wana jambo zito dhidi ya mtu yeyote, mahakama ziko wazi na wasaidizi wa mwakilishi wa mtawala. Wanaweza kufungua mashtaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu yeyote, baraza ziko, na watawala wako; na washitakiane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Demetirio na mafundi wenziwe wako na neno la kusuta mtu, siku za uamuzi ziko, hata waamuzi wako, basi, na wasutane!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja naye wana neno juu ya mtu, baraza ziko, na maliwali wako; na washitakiane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi ikiwa Demetrio na wafundi wenzake wanakuwa na mashitaki juu ya mutu fulani, tuko na tribinali na wakubwa wako pale. Wanaweza kupeleka mashitaki yao kule!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja nae wana neno juu ya mtu, baraza ziko, na maliwali wako: na washitakiane.