Acts 19:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mkitafuta neno lo lote katika mambo mengine, yatatengenezwa katika kusanyiko lililo halali.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuna kitu kingine mnataka kuzungumzia? Basi njooni kwenye mikutano ya kawaida ya mji mbele ya watu. Litaweza kuamuriwa huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama kuna jambo jingine lo lote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa kuna mambo mengine yoyote mnayotaka kujua, ni sharti yasuluhishwe katika kusanyiko lililo halali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkiwa na neno jingine-jingine, litatimizwa mbele ya wale waliochaguliwa wa kazi hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mkitafuta neno lo lote katika mambo mengine, yatatengenezwa katika kusanyiko lililo halali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama mukiwa na neno lingine, litakatwa katika mukutano ulioruhusiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali mkitafuta neno lo lote katika mambo mengine, yatatengenezwa katika kusanyiko lililo halali.