Acts 19:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi hawa waliposikia hili, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoyasikia wakabatiziwa Jina la Bwana Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliposikia maneno haya, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waliposikia baya wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.