Acts 19:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikuwa wapatao wanaume kumi na wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jumla yao walipata wanaume kumi na wawili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwepo wanaume kama kumi na mbili katika kundi hili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wote jumla, walikuwa watu wapatao kumi na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi yao ilikuwa wapata wanaume kumi na wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwa kama wanaume kumi na wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na idadi yao ilikuwa kama wanaume kumi na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote walikuwa waume kama kumi na wawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jumla yao walipata wanaume kumi na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote walikuwa kadiri ya watu kumi na wawili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na jumla yao walipata wanaume thenashara.